Uchunguzi wa Damu wa Kliniki

Tunatoa vipimo vya damu vinavyosaidia kugundua magonjwa, kutathmini afya na kufuatilia matibabu kwa usahihi na ubora.

Vipimo vya Haraka vya Uchunguzi

Tunatoa vipimo kwa wakati unaofaa ili kusaidia kupata majibu mapema na kuwezesha maamuzi sahihi ya huduma za afya..

Uchunguzi wa Afya Kinga

Tunatoa vipimo vya uchunguzi wa afya kwa lengo la kugundua mapema vihatarishi na magonjwa, hata kabla dalili hazijajitokeza.