ABOUT

DKT. PAUL CHARLES MAGELE – Mwanzilishi . (Founder)
Katika Weledi, Uaminifu na Ubunifu katika Huduma za Uchunguzi wa Afya.Dkt. Paul Charles Magele ni mtaalamu wa teknolojia ya maabara za afya mwenye uzoefu katika taasisi za serikali, binafsi na mashirika ya kimataifa. Mwaka 2018, alianzisha AFYA CARE DIAGNOSTIC LABORATORY kwa lengo la kutoa huduma za uchunguzi wa afya zenye usahihi, weledi na teknolojia za kisasa.
ENEO LETU : 
AFYA CARE DIAGNOSTIC LABORATORY ipo MANISPAA YA TABORA, TANZANIA, mkabala na STENDI YA MABASI. Tunajivunia kutoa huduma za uchunguzi wa afya kwa weledi na uaminifu.