Jifunze kuhusu kipimo cha ASO, maana ya matokeo ya juu au kawaida, uhusiano wake na rheumatic fever na matatizo ya figo baada ya maambukizi ya Streptococcus.

Fahamu aina za vipimo vya kisukari, FBG, RBG, OGTT na HbA1c, viwango vyake na umuhimu wa uchunguzi wa mapema.

Jifunze kuhusu vipimo vya mkojo (urinalysis), aina zake, maana ya matokeo na umuhimu wake katika uchunguzi wa UTI, afya ya figo na magonjwa mengine.